BINTI HUYU ASEMA NI MTOTO WA LOWASA ALIMTELEKEZA AKIWA MDOGO..! - MR. KUYUMBO BLOG

Breaking

Wednesday, April 11, 2018

BINTI HUYU ASEMA NI MTOTO WA LOWASA ALIMTELEKEZA AKIWA MDOGO..!


Huyu dada amejitokeza katika ofisi ya Mkuu wa mkoa Mh.Paul Makonda, akidai yeye ni mtoto wa Waziri mkuu wa zamani Mh.Edward Lowassa lakini alitelekezwa akiwa mdogo na Mh.Lowassa!!!

Binti huyu ni mmoja kati ya wanawake waliofika katika ofsi za mkuu wa mkoa ili asaidiwe.

No comments:

Post a Comment