DIAMOND NA MOBETO WAONYESHA HISIA ZAO JUKWAANI... - MR. KUYUMBO BLOG

Breaking

Monday, April 2, 2018

DIAMOND NA MOBETO WAONYESHA HISIA ZAO JUKWAANI...

Diamond sasa  ashinda kuzizuia hisia zake aamua kuonyesha uhusiano wake na Hamisa. Juzi katika kupokea na kutangaza kufugua channel ya WASAFI alimkaribisha Mobeto aje mbele na kumfanya sehem ya hafla ile. Diamond ameonyesha suala hili kwa mara ya kwanza tangu waingie kwenye mgogoro yeye na hamisa nmobeto na kupelekea kuachana na Zari.                                                


No comments:

Post a Comment