MONETIZE BLOG YAKO BILA VIGEZO KWA PROPELLER ADS UANZE KUPATA HELA, HII NI MBADALA YA ADSENCE ACCOUNT. - MR. KUYUMBO BLOG

Breaking

Monday, April 9, 2018

MONETIZE BLOG YAKO BILA VIGEZO KWA PROPELLER ADS UANZE KUPATA HELA, HII NI MBADALA YA ADSENCE ACCOUNT.




  • Ndugu hii ni habari njema kwako mwenye blog changa ambaye una chanell changa sasa unaweza kujiunga na propeller ads ambayo ina kuwezesha kuanza kulipwa kutokana na matangazo ya propeller wanayo weka katika blog yako. unaweza kujiunga kwa kubofya hapa https://publishers.propellerads.com/#/pub/auth/signUp?refId=TbCm kama hujajiunga na kisha fuata hatua zifuatazo:
  1. Ingia (sign up) kwa kuingia kwa kubofya hapa https://publishers.propellerads.com/#/pub/auth/signUp?refId=TbCm
  2. baada ya hapo chagua sign up as publisher
       


  • jaza data zako; chagua individual account au company account kutegemeana na wewe.
  • hatua inayo fuata jaza jina, nchi, anwani yako, jina la blog yako, na taarifa nyingine muhimu.
  • baada ya kuwa umejaza taarifa zote watakunyesha sehemu inayokuelekeza uweke alama ya vema sehem ya kukubali term and condition, weka vema.
  • baada ya hapo uta pata sms katika screen yako imeandikwa ''THANK YOU'' na maelezo kwa chini ya kufanikiwa kujiunga.
  • utapata sms katika email yako au link ambayo utaitumia ku login.
      kumbuka; copy url ya blog yako mf http//:dailynewstv.blogspot.com

      3.kisha utaona uwanja wa propeller ads.



  • hapo jaza data zote zinazotakiwa
  • chagua ''add new site''
  1. chagua popunder kisha bofya next
  2. kwa juu ingiza jina la ads yako ''popunder'' kisha bofya next

  1. baada ya hapo utapata code za HTML Zi-copy  

  1. ingia katika blog yako kisha log in ingia kwenye Template or Theme bofya HTML edit
  2. bonyeza contro na 'f'' kisha kwa juu watakuletea sehemu ya kutafta ''seach'' kisha ingiza neno <body> likiwa na alama zake hizo.kisha nenda chini yake  past zile code ulizo copy.
  3. rudi kwenye propeller sehemu ya chini weka vema na kisha ruhusu, muda huo huo ads zitaanza kuonekana .
  • kumbuka kujaza sehemu zote na kusoma maelekezo kwa umakini.
  • unaweza ku-google kwa maelezo zaidi au 
  • wasiliana nami kwa email kwa kutuma ujumbe hapo chini, au nitafte 0755739331.

No comments:

Post a Comment