HECHE JONH MBUNGE WA TARIME NAYE MAMBO YAPAMBA MOTO. - MR. KUYUMBO BLOG

Breaking

Friday, April 6, 2018

HECHE JONH MBUNGE WA TARIME NAYE MAMBO YAPAMBA MOTO.




Hatimaye Mbunge wa Tarime Vijijini Mhe @HecheJohn amefikishwa Mahakamani na kuunganishwa kwenye kesi namba 112/2018 inayowakabili Viongozi wengine wa Chama, wakiwemo wakuu na wabunge, ameachiwa kwa dhamana kwa masharti waliyopewa watuhumiwa wengine kwenye kesi hiyo Aprili 3/2018.

Kesi yao ita endelea tarehe za mahakama zitakapofika.

No comments:

Post a Comment