DIAMOND NA WEMA SASA MAMBO NI MOTO....!! - MR. KUYUMBO BLOG

Breaking

Thursday, April 5, 2018

DIAMOND NA WEMA SASA MAMBO NI MOTO....!!


Siku chache baada ya Nasibu, Maarufu kama Diamond Platnumz kutengana na Zari kumekuwa na vuguvugu la chinichini kuwa Diamond amerudiana na Wema Sepetu.

Lakini suala hili limekuwa la tofauti baada ya Diamond Platnumz kuonyesha hisia za Wazi kwa mama wa mtoto wake Yaani Hamisa.

Wema mpaka sasa hajasema lolote kuhusiana na suala hilo licha ya Mashabiki wengi kujiuliza maswali mengi na kudhani kuwa huenda Wema kukaa kimya sana ni kutokana na maumivu anayoyapata kitokana na mapenzi yake kwa Diamond.

No comments:

Post a Comment