DAR: Mwandishi wa gazeti la "The gudian", Finning F.Simbeye ameokotwa na wakazi wa Bunju akiwa hajitambui huku akionekana kuwa amepigwa sana sehemu mbalimbali za mwili.
Mpaka sasa watu walio fanya tukio hilo hawajajulikana na selikali haijatoa tamko lolote.
No comments:
Post a Comment