Haya ni matokeo ya vita, Vita ambavyo vilitokea huko Somalia miaka ya nyuma kidogo. Picha hii ilichukuliwa na Mpiga picha Maarufu ajulikanaye kwa jina la Quanly Bichqui.
Ndugu yangu kama kuna amani katika nchi yako halafu kuna mtu ana tafta vita mlaani vikali.
Mtoto huyo inasemekana alizidiwa alipokuwa akijaribu kutoroka baada ya kupoteza wazazi wake
No comments:
Post a Comment