Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa Paul Makonda amesema kuwa Wanawake 61 kati ya wanawake walio onana na mawakili ofsini kwake Wametelekezwa na wabunge.
Makonda ameyasema hayo ikiwa ni siku chache tangu awatake wanawake wote waliotelekezwa na waume zao kufika ofsini kwake ili kuwasaidia jinsi ya kutatua matatizo yao.
No comments:
Post a Comment