SIRI NZITO YA CHADEMA YAFICHUKA AMBAYO WENGI HAWAJUI. - MR. KUYUMBO BLOG

Breaking

Thursday, April 5, 2018

SIRI NZITO YA CHADEMA YAFICHUKA AMBAYO WENGI HAWAJUI.


Chadema ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania. Mbali na kuwa cha kikuu pia hiki ni chama chenye nguvu kuliko vyama vyote vya upinzani nchini Tanzania.

Siri kubwa ambayo wengi hawajui ni kuwa, Chadema ina support au inapata msaada mkubwa kutoka nchi zilizoendelea ikiwemo Marekani. Ndiyo maana kila likitokea tatizo jambo la kwanza ni kutaka selikali iruhusu uchunguzi kutoka nje ya nchi.

Haya yamebainishwa na viongozi wengi wa serikali, lakini pia mwenendo mzima wa chama hiki.

No comments:

Post a Comment