Mbunge wa nzega ameonesha shauku yake ya kutaka selikali isijenge viwanda vingi sana kwani Watanzania wengi nia masikini hivyo watashindwa kununua bidhaa zinazozalishwa na viwanda hivyo kama zikiwa nyingi.
Mbunge huyu aliyaseama hayo bungeni Dodoma na hapa nanukuu
"Tukijenga viwanda kama asilimia 70% ya Watanzania ni masikini hawana uwezo wa kununua bidhaa za viwanda hivyo, viwanda hivyo vitakufa tu" :- Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe
No comments:
Post a Comment