ZITO KABWE AFUNGUKA MAZITO,URAIA WA NONDO;AOMBA WAZEE WA UJIJI KUMALIZA UPUUZI HUU.! - MR. KUYUMBO BLOG

Breaking

Thursday, April 5, 2018

ZITO KABWE AFUNGUKA MAZITO,URAIA WA NONDO;AOMBA WAZEE WA UJIJI KUMALIZA UPUUZI HUU.!


Mbunge wa Kigoma Mjini mhesimiwa Zitto amefunguka na kusema, namnukuu;

"Abdul Nondo Abdul Omar Mitumba, mjukuu wa Marehemu Mzee Omar Mitumba, mwasisi wa TANU na mpigania Uhuru wa Tanganyika leo anaitwa na maafisa Uhamiaji eti kuhojiwa uraia. Hao maofisa uhamiaji na aliyewatuma hawana 'credentials' ambazo Babu yake Nondo, Mwenyekiti wa TSNP anazo. Hii Serikali inatutafuta ubaya. Wazee wa Ujiji sasa mkae. Tumalize haya mambo ya kipuuzi" - Zitto Kabwe alisema.


No comments:

Post a Comment